IT'S ALL ABOUT MUSIC
Chiwileinc Entertainment inakudondoshea show la kibaba likihusisha Amir mill, Fraga de Pro Sam Flavour Mwailonda Masia, Y-sam, Claver B, Masai wa kigoma Nzasa Hood & Dienova, siku ya Pasaka katika ukumbi wa Manchester Pub mbagala dar es salaam kwa kiingilio cha #3000 wanaume wakati wadada watachangia #2000 tu hii ndio nafasi kuja kucheza nikupeti peti na Dunia mzima Live Bila kusahau mixng kali toka kwa ma Dj DOP Kukaa
No comments:
Post a Comment